Revelation of John 19:6

6 aKisha nikasikia sauti kama ya umati mkubwa, kama sauti ya maji mengi yaendayo kasi na kama ngurumo kubwa ya radi wakipiga kelele wakisema: “Haleluya!
Kwa maana Bwana Mungu wetu Mwenyezi anatawala.
Copyright information for SwhKC